Ninashukuru sana kwa majibu mazuri, kimo cha eneo langu ni futi tisa tu! Ninahitaji kufuga kuku kwaajili ya matumizi ya nyumbani zaidi, ikiwa ni pamoja na kuwarithisha watoto shughuli za ziada tofauti na masomo yao ya darasani. pia kuwajengea nmsingi wa ajira binafsi hapo baadaye. ningependa...
Salaam mimi natamani kufuga kuku kwa mfumo wa ndani lakini eneo langu ni dogo sana nimebakiwa na futi saba upana kwa futi 14 urefu, Je ninaweza kujenga mabanda madogo ya ghorofa kwa partition za upana wa futi 4, urefu futi 14 na kimo futi 2.5?

Ninatambua ni kwanini lizaboni unao ujasiri ni kwasababu hupendi kudadisi, ndo maana pia hutapenda kukosoa kwa hoja za kujenga:
kwa muda mrefu wazungu wameweka vipimo hv vya metriki kwa makosa na wewe unakubali
wanadai 1acre ni sawa 0.4047ambayo ni sawa na ekari 2.47 ktk hekta! hili ni kosa...
Nadhani kama Watanzania tunatakiwa kuwa na hekima katika kufikiri! Ni wakati wa kujenga nchi yetu na si kudharauliana kwa mapungufu madogo ya kitakwimu yanayojitokeza. kwa utashi wangu sahihi kabisa aliyemkosoa Msigwa pia amekosea kanuni; kama mwalimu wa kujitolea naomba kufundisha kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.