Kabla ya yote, waonekana kuwa mwanafunzi mwema kwa kukubali kujifunza. Ni wachache sana wenye nia, hivyo, utahitajika kusoma vitabu vya kingereza na kuzungumza pia. Usijali makosa madogo madogo yatakayojitokezakwani ni njia mojawapo ya kujifunza. Nipo tayari kukusaidia kwani nami nitakuwa...