Recent content by Felix Milinga

  1. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Njia ya kusababisha magamba sugu kumpigia kura Lowassa

    Ahsante sana kwa kutupa njia mbadala wa kuwalainisha Magamba sugu. #Mabadiliko2015 muhimu
  2. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Wanasema kuwa CCM imejipanga kumuwekea Lowasa pingamizi ni waongo wakubwa kwakua wao ni CCM basi wameshajua kuwa watashindwa ndiomana wanaanza kaleta maneno ya uzushi na uongo. Ahsante
  3. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Ukiangalia hayo mambo basi ujue CCM itaendelea kutawala daima milele, ishu ni kuitoa CCM na mfumo wake madarakani alafu mambo mengine baadae, na mgombea mwenye nguvu za kutosha ni Lowasa. Kubali au ukatae kama unataka kweli kuitoa CCM madarakani na mfumo wake basi lazima umkubali Lowasa. Kaa...
  4. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Muungano wa UKAWA waichanganya CCM, wamuahidi Slaa bilioni kumi Slaa awatosa

    Hongera sana kiongozi we2 Dk slaa tunaomba usituangushe Watanzania tuliokupenda na kukuamini. Mwenyezi akuongoze katika kipindi hiki cha majaribu. Ameen
  5. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Kwahiyo cabinet yote ya UKAWA haina hizi taarifa isipokua wewe tu ndio unazo? Uongo mwingine bwana hata haufanani. Wewe kama huna cha kupost ni bora ukae kimya kuliko kuudanganya uma wa watanzania kwa kitu ambacho hakiwezekani. Kaa kimya..... Full stop...!!!!
  6. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Nape na Bernand Membe watibuana, kisa kugoma kuachiana jimbo la Mtama

    Please nape tafuta chaka lingine maana hilo pori limeingia wahumiani. Pole sana nape maana ndio basi tena maana mwenzio kaahidiwa huyo.
  7. Felix Milinga

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere aaga mbio za Urais, ajikaanga kwa mafuta yake

    Hahaha.... Wenyewe kwa wenyewe wameshaanza kuzozana. Kweli safari hii kazi ipo hapo ndani ya CCM. Mm yangu macho sina la kuongeza kuhusu hiyo ishu ya hicho kipengele. Thnx
Back
Top Bottom