Aiseee unachekesha mwanza huijui kaa kimya Arusha ina nini cha kuizidi mwanza duuuh jiografia ya mwanza ni milima nyumba nyingi hazionekani vizuri kwa sababu ya milima lakini mwanza ni nzuri mara mia ya Arusha ukiitembelea maeneo yote ndo utajua ukweli ulivyo
Acha usenge wewe kitu kikijengwa dar Dodoma na Arusha ni sawa ila kikijengwa Kanda ya ziwa sio sawa kwa maoni Yako kwa taarifa tu watu walikuwa wakipoteza muda mwingi sana kuvuka pale kigongo na busisi ila kwa sababu umejaa ukanda na ushamba na ujinga na unafiki na uzandiki hutaona faida ya...
Mkuu mie ni WA mwanza ila tuache kuingiza mambo ya Israel katika mambo haya tuna matatizo mengi kama nchi tushughulike na matatizo yetu mambo ya Israel tuwaachie wenyewe kikubwa tuwaombee wapatane my take Arusha haitakaa ikaifikia mwanza kwa lolote
Mie ni WA mwanza lakini tusiingize mambo ya...

Huhuhu mwanza jiji ni kubwa sana yaani eneo lililofikiwa na watu ni kubwa sana na mitaa mingi mwanza imechangamka hasa iliyo nje ya jiji kama buswelu ,igoma na kiseke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.