Recent content by Fefa

  1. Fefa

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea chama cha upinzani kabla ya uchaguzi mkuu tangu mfumo wa vyama vingi uanze

    Namuona Dr. Slaa anafunguliwa milango ya Ikulu Oktoba na watu wa usalama wa Taifa wale wale waliotaka kumdhulu tena wakimufungulia kwa heshima kubwa. Kwani UKAWA wamekwisha teua mgombea au Slaa ni wa Chadema?
  2. Fefa

    JamiiForums Tanzania Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

    Wazee Bavicha mko wapi mjibu facts alizotoa ZZK the great! Au mko mwajipanga?
  3. Fefa

    JamiiForums Tanzania Aibu Mpya Elimu-Vitabu vya SHIGONGO vyaingizwa katika mitaala ya shule!

    Inawezekana ni walioamua hivyo wameona kinafaa. Lakini ukweli ni kwamba vitabu hivi vimeandikwa ukitazama kwa kwa undani ilikuwa kwa ajili ya kuuza magazeti hivyo hadithi inazunguushwa kiasi kwamba kwa shule itakuwa ni kuwasumbua na kupoteza muda wa wanafunzi. Hadithi inahusisha vizazi 3. Mie...
  4. Fefa

    JamiiForums Tanzania Salam

    Hellow JF members, I new here and hope I will gain much insight about various matters concerning all spheres of our daily life.
  5. Fefa

    JamiiForums Tanzania Salam

    Hellow JF members
Back
Top Bottom