Recent content by Feeling Haillee

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wauaji wilayani Kibiti wadaiwa kutuma ujumbe kuwa wataendelea kuwauawa Polisi kwa sababu huwadhulum

    Na ukiulza hizo dhuluma wanazodai, usishangae ikawa ni upuuzi mtupu. Kwani nchi yoote hii askari wako kibiti tuu??.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wauaji wilayani Kibiti wadaiwa kutuma ujumbe kuwa wataendelea kuwauawa Polisi kwa sababu huwadhulum

    Pohamba, hata km ukakabidhiwa SMG mikononi na miguuni, bado tuu huwezi kua na macho mbele na nyuma
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wauaji wilayani Kibiti wadaiwa kutuma ujumbe kuwa wataendelea kuwauawa Polisi kwa sababu huwadhulum

    Hebu toa na mifano ya Mali walizonyang'anya za hao watu maskini huku ukianisha hao maskini.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Huenda hawa wauaji wanatumia nguvu za Giza. Hii c kawaida
  5. F

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Siyo akili finyu, ila vitu vingine vinaleta maudhi sn
  6. F

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Leo unasema Siro ana kazi ngumu, kesho itakua Watz wote tutakua na kazi ngumu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Hv unajua kwan Dr akiua hua hashtakiwi au unaropoka tu??.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Si walemavu tuu, hata baba take hy IGP anapaswa kufuata sheria pia kwa kila aliye RAIA mwema.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Mi huaga najua kila kitu ni utaratibu. Police hadi wafikie kukupiga hua kuna taratbu zao. Kwanza hua wanawaomba mtawanyike kwa AMANI, hii hua wanarudia Mara 3. Ukikaidi Amri hy ndipo kikosi cha virungu husonga mbele kukabiliana na yule aliye mbele yk. Na kwa wakati huo kila aliye mbele yk hua ni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Mbona naona ni km hujamwelewa vzr???
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Kuomba radhi nako ni laaana???, hii sijawahi sikia ndo kwanza kwako.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aomba radhi kufuatia Polisi kutumia nguvu kubwa kupambana na watu wenye ulemavu

    Hujaielewa hiyo post au Huelewi maana ya kuomba radhi??.
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni huu: Wasichana na wanaume wanatakiwa kushtuka

    Mmmmh, tayari Niko 40, but nna mtoto mmoja, HV nliwaza kuongeza. Uzi wako umenidiscourage sn.....
  14. F

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Acha hisia potofu....
Back
Top Bottom