Recent content by Fede Masolwa

  1. Fede Masolwa

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Ukiusikiliza vizuri wimbo wa mwimbaji wa nyimbo za dini, Christiana Shushu "Kwa Neema Tu" utaelewa na kuamini Mungu yupo jana, leo, kesho na ata milele. Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ya Tanzania, Bw Gerson Msigwa ametoa taarifa kwa Waandishi wa habari na umma wa watanzania leo tarehe...
  2. Fede Masolwa

    Anew HP min laptop for sell

    umepata mtu tayali nicheck 0715011406
  3. Fede Masolwa

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Hilo Gazeti silipendi kweli, lina mahaba alina ukweli sasa.
  4. Fede Masolwa

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    EPZ sio Jimbo la segerea pale kweli
  5. Fede Masolwa

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Asante juu, ila jibu bado wakuu.
  6. Fede Masolwa

    Clouds FM, kipindi cha Jahazi kinaboa

    Sasa kipindi kinaboa sana, shida ni watu wanaoendesha hawana mvuto matangazo ni kawaida...nimeacha kusikikiza siku sana.....Likuda sijui simuelewagi kabisa.
  7. Fede Masolwa

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Habari wapendwa! Naomba kuuliza aina ya dawa au mafuta yakutoa mabaka baka ya cream kwa mwanamke kama ikimkata, asante na dada anatatizo hilo.
  8. Fede Masolwa

    Nauza Huawei y330 85,000

    Kula 50,000 nicheck 0715011406
  9. Fede Masolwa

    Nipe Tec?o yeyote nikupe Samsung Galaxy.

    asanteni sanaa, nimefanikiwa jana.
  10. Fede Masolwa

    Nipe Tec?o yeyote nikupe Samsung Galaxy.

    Habari? nashida na simu ya line mbili aina ya Tecno, na simu ya line moja Samsung mpya kabisa Galaxy tab S.
  11. Fede Masolwa

    System designer, blog designer, website designer anapatikana kwa bei poa kabisa

    Website ni Tsh? mpaka inaanza kazi, na charge yake kwa mwaka sasa ni shingapi
  12. Fede Masolwa

    Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Punguza mahaba ya kijinga, utafanya kazi bila kikao
  13. Fede Masolwa

    Pole sana DC Makonda; Wabunge wote UKAWA, Halmashauri UKAWA, Meya UKAWA

    Quinine Kuna ofisi ya mkuu wa wilaya na kuna ofisi ya mkurugenzi wa wilaya, kuna ofisi ya meya wa halmashauri ambayo ipo ndani ya DED na madiwani na wabunge wanahusika hapo. Makonda sio shida yake kwani yaye ataweza kuingiliana na UKAWa, huruma namuone DED.
Back
Top Bottom