Recent content by Feast

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Mkuu umefurahi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Huyu aliekuja pm sio ambae namtafuta
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    bado sijampata
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Shalom Shalom wanaJF Kulikua na mdau anauza mashine ya kutengeneza sabuni ya miche naomba anicheck pm tujadili
  5. F

    JamiiForums Tanzania Dualis inauzwa hii ni offer ya kufunga mwaka

    Kula 8m
  6. F

    JamiiForums Tanzania Scania 124 horse na flatbed trailer inauzwa

    Bado ipo?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Tunauza mashine za aina mbalimbali

    Kubwa yake unayo?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Mkuu kama Ukimwi nimeshapima, na je kuna uhusiano gani wa ugonjwa wa Ukimwi na hali ninayoizungumzia? Na pia sio suala lilojitokeza hvi karibuni ni jambo la mda mrefu sasa linamiaka tokea nilipoanza chuo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Hapana mkuu mimi sina madeni ambayo yanayonifanya nikakosa amani nina madeni ambayo yanalipika, ambavyo wwe unahisi mtu anaweza akafanya jambo gani likampelekea katika hali hiyo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Yes mkuu hii ni moja ya hali pia huwa inayotokea, yaani ukisema ujisikilize unavyoongea sauti inakuwa haipo strong inayumba yumba, maneno ya mbele unaweka nyuma na ya nyuma unaweka mbele
  11. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Hapana mkuu hiyo age nilishaipita tayari
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Hapana mkuu, sio upande wa pesa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na woga sana, nahitaji ushauri

    Wakuu Habari…. Nimekua na tatizo linalonisumbua kwa mda mrefu, nakua na hali ya kuwa na wasiwasi na kuogopa, inawezekana hata mtu akifungua mlango wa chumbani basi najikuta mapigo ya moyo yanaenda mbio na pia nakua na hali yakujawa na pumzi, hii pia inaniathiri hata nikiwa naongea mbele za watu...
Back
Top Bottom