Kama inawezekana, hebu tufanye umesafiri kurudi hadi 1930 halafu ukamuua babu yako inamaana wewe hautazaliwa na hautamuua Babu yako na uta zaliwa... "Grandfather paradox"
Hadi sasa wataalamu wanakubaliana kwenye kitu kimoja "time dilation" inawezekana na si wote wanakubali au kukataa uwezekano...
Nilinunua simu ya Promosheni kutoka kampuni fulani ambayo hutoa huduma za mawasiliano ya simu na intaneti hapa Tanzania. Simu hiyo ilikuwa na laini mbili ambapo niliambiwa laini moja ni kwa ajili ya kampuni hiyo na laini ya pili naweza tumia mtandao wowote.
Nilipo tumia laini toka mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.