Recent content by fbullet

  1. F

    Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Ila Jamii forum mnaruhusuje threads za kishoga kama hzi??
  2. F

    Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Kama sikosei kwenye heading pale utakuta jina la samia sasa wew unamjibia samia kwani wewe ni samia au ndo kuwashwa??
  3. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Sidhani kwa ndgu zake itakuwa suala gumu kupata namna ya kuonana na mimi chill bro taarifa zimefika
  4. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Nitajua wakati wa kutoa hapo hapo
  5. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Nilikuwa sijui sasa nimejua sidhani kama kuna shida kama hyo
  6. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Siwezi kuweka hapa ntasumbuliwa na wengi ila kama kweli ni ndg yake nicheck kwny direct msg tuwasiliane
  7. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Thanks Bro..... Tumsaidie aweze kusimama tena
  8. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Hzo ni hisia zako bro.... Mim kumkubali mtu haimaanishi na unayowaza
  9. F

    Niko Tayari kumsaidia figo yangu Joseph Haule (Profesa Jay)

    Habari wana jukwaa, nimefurahishwa na taarifa za msanii wangu pendwa ndugu Mh. JOSEPH HAULE maarufu kama Prof Jay. Nimesikia tetesi kuwa anasumbuliwa na Figo, nikiwa kama kijana mpenda mapinduzi na mpenda maendeleo na pia mpenzi wa muziki niko tayari kumsaidia moja kati ya figo yangu ili...
Back
Top Bottom