Njia ya kukomesha vurugu hizi ni hii. Kuwe na ofisi ya msajili wa umoja wa dini mbali mbali kwa mfano umoja wa Wakristo, umoja wa Waislamu, umoja wa Wabudha, umoja wa Wapagani nakadhalika. Kila umoja uwe na kiongozi wake ambaye ndiye atakayesajili umoja wake serekalini. Viongozi wa umoja wawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.