Recent content by fatuma selemani

  1. fatuma selemani

    JamiiForums Tanzania Pesa ya field vipi mbona kimya

    Baadhi ya vyuo nasikia washapewa pesa ya fld awamu ya pili
  2. fatuma selemani

    JamiiForums Tanzania TCU tuhurumieni tuliomaliza form six miaka ya nyuma

    Nenda kwenye chuo ulichopangiwa mwaka Jana kachukue barua ya kuonyesha kama ukuwa admitted na iko chuo, alafu huiambatanishe na barua yako ya kuomba Ku apply upya kisha peleka TCU ili hurusiwe kuapply upya
  3. fatuma selemani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    Shukuru mungu umepata japo boom wengine awajapata kabisa
Back
Top Bottom