Recent content by Father TZA

  1. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza daftari kwa bei ya jumla

    Habari za Kazi ndugu wadau..? Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla.. Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
  2. Father TZA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
Back
Top Bottom