Habari za hapa wana jamii?jamani wanajamii wenzangu,mm kwa muda mrefu natafuta mke kupitia hapa jamii lakini imekuwa kasheshe kubwa kwangu,kila mwanamke ninaekutana nae,anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,kweli kupata mke kupitia hapa jamii imekuwa ngumu sana kwangu,kila mwanamke anataka...