Waziri wa utumishi ametangaza nia ya serikali kutoa ajira zinazofikia elfu 44 mwaka huu. Anayeweza aweke link inayopatikana katika ukurasa wa gazeti za mwananchi la mtandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
"Kuna wanaJF wenzetu hapa wanapitia kipindi kigumu mno cha madeni yasiyolipka mpaka wanaziogopa simu zao na nyumba zao. Wanaishi kama digidigi. Hawana amani hawana furaha"
Mungu pamoja na wengine utupiganie na ss tunaohusika na hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.