Recent content by Farolito

  1. Farolito

    JamiiForums Tanzania Mwili wa James Temba, aliyepotea umeokotwa mto Msimbazi ukiwa hauna kichwa

    walidhani wamemaliza kazi
  2. Farolito

    JamiiForums Tanzania Heche: Kuna vijana wanadai walitumwa kuja kufanya fujo kwenye Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso

    Singida hao waliotumwa walikula kichapo cha hatari
  3. Farolito

    JamiiForums Tanzania Dikteta Sadaam Hussein alipojifanya anapingana na maandiko ya biblia na kilichomkuta

    Anataka Kupingana na unabii wa Mungu aliye hai Hivi si ndio huyu nasikia aliandika Quran kwa damu damu yake?
  4. Farolito

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Watu wenye umri kuanzia miaka 40 kuendelea

    Ushauri mzuri umepokelewa,nitaufanyia kazi
  5. Farolito

    JamiiForums Tanzania X Chat ya Elon Mask imenza kufanya kazi Tanzania. Huhitaji namba ya simu kuitumia

    Kwanini value itashuka, hebu nifafanulie kidogo?
  6. Farolito

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

    Kila mahali kuna VIP treatment, wale wanaangukia maofisini huko, wakija pale mbele wameshapona kabisa Kwa TB Joshua walikuwa wanaenda hadi maraisi ila huoni wakiombewa pale hadharani labda kuwabariki tu na unabii.
  7. Farolito

    JamiiForums Tanzania Heche: Kumpeleka Mwenyekiti wetu bila Taarifa ya Mawakili wa chama ni kitendo cha aibu na kinachotia shaka sana

    Mama Sa100 anajaribu kuficha aibu zake
  8. Farolito

    JamiiForums Tanzania Faida za Asali Mbichi isiyochakatwa

    Asante kwa maelezo mazuri. Nyie ni wazalishaji wa asali?
  9. Farolito

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Huyu tatizo lake alishajichafua haaminiki tena, ndio alisema tiki ipigwe kwa mama halafu ya ubunge kwake wakati anajua ule ulikuwa ni uchafuzi
  10. Farolito

    JamiiForums Tanzania Printing Solution

    Hongera Sana kaka, wateja wanakuja Ila ungeweka sample ya kazi zako ingefaa zaidi
  11. Farolito

    JamiiForums Tanzania Shenena ya Kemikali hatarishi yamwagika barabara kuu ya Mikumi jirani na bwawa la Mindu

    Wafanye fasta kabla wanafunzi hawajenda kulamba wakidhani maziwa ya unga.
  12. Farolito

    JamiiForums Tanzania EU wazitaka kampuni za simu na kompyuta kuwezesha betri zao kubadilishwa na mtumiaji wa kawaida kuanzia 2027

    Hii nzuri, unakuta simu bado nzuri ila betri imekwisha kazi,sasa watumiaji wataweka kubadilisha tu
  13. Farolito

    JamiiForums Tanzania Muliro: Aprili 20 Jeshi limewakamata watuhumiwa 37 kwa Makosa ya Kimtandao, kutoa vitisho na Matusi mazito

    Hizi habari wangebaki nazo hazitusadii lolote, ujinga mtupu
Back
Top Bottom