Recent content by Faridi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir ‘Chande afariki dunia

    Wewe nani kuwazungumzia watu wote kuzungumzia wote wanaotumia blog hii.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

    Kama alikuwa sio polisi kwanini asikamatwe pale alipofanya hivyo, kama atakua ni raia tujiulize alijiamini vipi mpaka kuweza kumtolea bastola waziri mstaafu mbele ya halaiki ya watu bila woga wowote.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Kama itakua imekutwa passport ya nchi nyengine nyumbani kwake kuna kipi kinangojewa asipelekwe mahakamani, ukitizamama tuhuma ambazo ametuhumiwa kwa kuanzia madawa ya kulevya, kuajiri wafanyakazi sio halali na sasa uraia wake na hatujui kitachofuata, ukiutazama musalsala unapata jibu.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nisemeni, mkichoka mtanyamaza

    Nani kakuambia nchi zilizoendelea hawatizame CV za mtu, kwa taarifa yako wanatizama CV, cheti, uhalali wake na experience yake huyo mtu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Makonda amjibu Lukuvi adai ataendelea na kuendeleza zile ekari 1,500

    Kinachoshangaza vipi mfanyabiashara au kampuni inawezaje miliki mpaka eka 3500, kwa kununua maeneo kidogo kidogo kwa wanavijiji bila kulipima, kuwa na hati au kuliendeleza, na huku hakuna hatua yeyote kuchukuliwa na serikali. Huyu inaonyesha hakutoa bure hizo eka 1500 ila aliona mbali, kwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

    Better late than never.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa ilivyo hali ya kisiasa Tanzania , je ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali inaweza kuaminika?

    Wengi wao hawakuhitaji mkemia wanajulikana wanatumia gharama za bure na muda umetumika.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro: Mbowe jisalimishe Polisi; Masogange, Chid Mapenzi, Wallis Nasher tumewakuta na madawa

    Kitu ambacho nashindwa kufahamu ikiwa kitengo kinachoshughulika na madawa ya kulevya kimeanza kazi rasmi na tumeambiwa wamekabidhiwa majina kwo ili washughulikiwe, kwanini majina mengine yabaki mikononi mwa polisi, nadhani umefikia wakati kila kitengo kiachiwe kifanye kazi zake.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tuliibiwa sana na janja yao naifahamu, acha ninyooshe nchi kwanza

    Hayo hayaguswi maana tulishaamua hatutafufua makaburi makubwa ya zamani.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Manji anakomolewa, sasa anyang'anywa hisa zake za Tigo na Serikali

    Serikali ni Serikali lakini inaongozwa kwa katiba na Sheria nchi yetu siyo Somalia, na haya mambo kama yatakuwa kweli tunaona madogo lakini yatatuulia uchumi wetu, wawekezaji na wafanyabiashara wanaona kinachendelea ulimwenguni kote kwa sasa.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Makonda Unaanzisha Mambo Hayafiki Mwisho Bali Mbwembwe tuu

    Hivi ile ya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi inaendelea.
  12. F

    JamiiForums Tanzania UNYAMA: Mtanzania asimulia unyama waliyofanyiwa Msumbiji

    Wewe unazungumza utumbo sasa, iachie serikali ifanye kazi yake imeanza kuwasiliana au kutuma maafisa wake kwenda huko. kwanini tuwe kama wao wakati Tanzania ni nchi salama na inaendeshwa kisheria.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno #dikteta katika kamusi ya Kiswahili

  14. F

    JamiiForums Tanzania Kuepuka kuonekana una double standard, Rais msimamishe Makonda amekosa moral authority

    kwani nini kinatisha kama ukitaka kufanyiwa uchunguzi au ukitakiwa kujieleza ukijifahamu wewe msafi. Kuna mbunge Uingereza alijipeleka mwenyewe Umarekani kuhojiwa mbele ya ma senator, baada ya kutuhumiwa na Umarekani alipokea Rushwa kutoka kwa Sadam Hussein, kwa hiyo mtu ukiwa msafi huna sababu...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kama katiba ingebadilishwa watu kama Joseph Msukuma wasingepata Ubunge

    Usitake kumpakazia kwasababu haziingii akilini, wananchi waliomchagua wanamfahamu vizuri, wakati wote ulikuwa wapi hukuupinga uraia wake, huwezi kujua uraia wa mtu kwa jina lake na unaweza kuwa raia kama mmoja wa wazazi wako ni Mtanzania.
Back
Top Bottom