Kiongozi wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki, Sir ‘Chande afariki dunia

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi

Salaam

chande.gif


Kiongozi wa jumuiya ya Freemasons Tanzania na Afrika Mashariki Sir Andy Chande pichani amefariki dunia.

Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge.
Alizaliwa Mombasa, Kenya Mei 7 1928 ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene Mjini, Mkoani Tabora (Tanzania).

Historia yake iliyorekodiwa na team ya Channel Ten kipindi cha Mimi na Tanzania hii hapa;
PART ONE


PART TWO
 
nilipoenda Kulala nikajua nikiamka nitakuta wanakamvi wengi wameusoma huu Uzi na kuchangia kama threads zingine ikioostiwa mda huu. Cha ajab watu waoga Yani wabongo bana hata kuingia tu humu kusoma washaogopa.
 
nilipoenda Kulala nikajua nikiamka nitakuta wanakamvi wengi wameusoma huu Uzi na kuchangia kama threads zingine ikioostiwa mda huu. Cha ajab watu waoga Yani wabongo bana hata kuingia tu humu kusoma washaogopa.
Dah..... Nadhani shida ni umaskini na utumwa wa mawazo
 
Kila nafsi itaonja mauti...Mungu amsamehe makosa yake na kumpokea.apumzike panapostahili.
 
Upumbavu wa habari hii ni upi? Sir chande ni Binaadamu kama wewe! Alichokuzidi ni name and fame! Hadi malikia wa uingereza atatuma salamu za rambirambi!! Kwa sababu anamjua!hata sizonje pia! Mzee Mkapa ni mwandamizi wa mzee! Rip chande! So mot it be

Nilitamani kuona ujasiri wako uko katika kuthamini uhuru. Malkia wa uingereza, Sizonje, Mkapa wakituma salam kwa shetani na kumsujudu, utalazimisha watu wote wafanye hivyo?

Hao wanaotuma wanajua wanahusiana naye vipi lakini usilazimishe watu wote waungane haa katika masuala ya kishetani. Freemasons ni satanic agents ni devil worshipers hata uwavalishe suti. Ninachotamani ni Mungu akupe kuona kilichoko huko wanakochagua kwenda. Hata kama ni baba yako ungekataa watoto wako kuitwa kwa jina lake.

Natamani wewe na free-masons wenzako ambao bado hamjafa, muone huyo babu yenu anakokwenda na namna kiburi na ubabe wenu unavyoyeyuka ghafla kama barafu kwenye pasi ya moto.
 
Back
Top Bottom