Recent content by farid batenga

  1. F

    St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

    Ndio maana hata hao walimu wa udsm utakuta ana masters au phd ya engineering lakin hajawahi ata kufanya kaz ktk prfesional yake na anakwambia anauzoefu wa kufundisha, elimu ya chuo kikuu na kuweza kutumia maarifa na ujuzi katika kuzalisha na sio kupata A ya physics tubadilike st joseph iwe...
  2. F

    St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

    Kupata f ya physics sio kigezo cha kushindwa kusoma civil eng!
  3. F

    Msaada wa mawazo: Nimepata kazi mbili nashindwa kuchagua

    Piga chini serikali fanya kaz ya pesa mingi jitume na uwe mfanis ktk kaz alwys matokeo mazuri tu ila kama unajua we ni mvivu nenda serikalini
  4. F

    Kuitwa Kazini TPDC

    Mimi cjui izo nafas za tpdc zinatangazwaje maana utaskia tu mara watu wapo kwenye usaili ebu mnijuze wangwana
Back
Top Bottom