Sorry!! Ukisoma vizuri post hailengi walimu bali commentors wanaipeleka mada kwa walimu sijui kwanini nami najaribu kuwaza kosa lao liko wapi wakati post inahusu watumishi wote wa serikali.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
True But watu sielew kwann wanadharau walimu wakat wanamchango mkubwa sana na Binafsi sijaandika kwa walimu wasemwe bali ni watumishi wote inawahusu hili.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
"Kuwa mtumishi wa serikali unatoboa maisha, sasa sielewi wewe unakwama wapi"
Haya ni maneno niliyokua nikisikia kipindi cha awali but unfortunately ukweli wake umekuwa mdogo kama Mbegu ya Bamia Japo I know some of watumishi wamefanikisha ila ninachofahamu mimi ni kwa misingi au mikakati fulani...
Asalam alaykum!! Mimi niko tayari ila kuna vitu ningependa kujua ni kweli haswaa uyo dadayo ni mfanya ibada au mavazi tu maana nahofia kupoteza dini ya kwa kukosea kuoa.
Lakini kati ya hao pichani yeyote kwangu ewala natumai hilo vazi liko mpaka moyoni but ninae mke na watoto watatu nahitaji...
Ni halali sana tu, Maana kama ulisoma vizuri utaona ni dada yake karidhia kaka yake amtafutie mme tena Masha Allah kigezo cha ibada kipo apo. Haifai kumlazimisha tu ila akiridhia mwenyewe aaah! Apo hakuna shaka
*Hijabu ni vazi la Stara bro, Huwez ona Pipi inauzwa dukani iko bila ganda lake ni km mfano wa hijabu
*Kuvaa hijabu ni maamrisho ya Allah(Mungu) kwa mtume na wake zake na sisi sote pia kuwa Wateremshe hijabu zao mpaka kifuani, we can't go against to what our Lords Says, Cause Allah(mungu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.