Recent content by Faraji2017

  1. F

    JamiiForums TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    ANAYE MTOTO MMOJA MKUBWA TU, ANAMIAKA ZAIDI YA 8
  2. F

    JamiiForums Kairuki yazindua Kitengo kipya cha Kuchuja damu kwa Wagonjwa wenye matatizo ya FIGO

    Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHJF), Anne Makinda (katikati), akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Kairuki Hospitali, Kokushubila Kairuki (kushoto), wakati wa uzinduzi wa Kitengo cha kuchuja Damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo cha Kairuki Hospitali. Mwenyekiti wa...
  3. F

    JamiiForums Hospitali ya Kairuki yakanusha tuhuma za mgonjwa kuachwa na vifaa mwilini wakati wa upasuaji

    hao unaowazungumzia wewe ni wanafunzi na wanakuwa wanaenda darasani kusoma na wala hawatibii mtu. We ni mtu mzima kabla hujaandika kitu uwe unafikilia kwanza na uwe na uhakika. Acha kuzungumza vitu visivyo na uhakika.
  4. F

    JamiiForums Hospitali ya Kairuki yakanusha tuhuma za mgonjwa kuachwa na vifaa mwilini wakati wa upasuaji

    Umesoma taarifa yote? Au umesoma tu kichwa cha habari?
  5. F

    JamiiForums Hospitali ya Kairuki yakanusha tuhuma za mgonjwa kuachwa na vifaa mwilini wakati wa upasuaji

    Nazani ukipitia hayo maelezo au taarifa utaelewa.
  6. F

    JamiiForums Hospitali ya Kairuki yakanusha tuhuma za mgonjwa kuachwa na vifaa mwilini wakati wa upasuaji

    TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA TUHUMA ZA MGONJWA KUACHWA NA VIFAA VYA KUZALISHIA UKENI Uongozi wa Kairuki Hospital umepokea na kusoma kwa masikitiko taarifa zilizoandikwa na magazeti ya tarehe 28/8/2017 pamoja na kusambazwa kwenye rnitandao mbalimbali ya kijamii kuwa hospitali yetu...
  7. F

    JamiiForums Kairuki hospital introduces Tanzania's first and only continuous renal replacement therapy machine (crt)

    Kitengo cha kusafisha damu, au watu wamezoea kusema kitengo cha kusafisha figo.
  8. F

    JamiiForums Kairuki hospital introduces Tanzania's first and only continuous renal replacement therapy machine (crt)

    KAIRUKI HOSPITAL introduces Tanzania's first and only CONTINUOUS RENAL REPLACEMENT THERAPY MACHINE (CRT); Machine Attributes: Used in ICU settings for patients with Acute kidney injury Can dialyse haemodynamically unstable patients for a long duration ie...
  9. F

    JamiiForums Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

    Ila watu wamejitokeza wengi kwahiyo tumeongeza na siku mpka kesho huduma inaendelea my dia. Karibu
  10. F

    JamiiForums Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

    Zimefika salam nimwambie nani anamsalimu
  11. F

    JamiiForums Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

    Bro mishaara ilishalipwa kitambo mpaka tumeshasahau kama tulilipwa.
  12. F

    JamiiForums Kairuki hospital yatoa matibabu ya macho bure

    Boss bado hujachelewa njoo keshoo.
Back
Top Bottom