Ili tuweze kutengemaa katika nyanja mbalimbali za kijamii,uchumi,siasa elimu,kilimo, biashara,utawala bora inabidi tuangalie kile ambacho ndio msingi wa kutengemaa. kwa maana hiyo ni lazima kuchukua kila sababu za kulinda na kutetea msingi huo.
Msingi huo ni afya, pale afya inapoyumba kwa mtu...