Recent content by FanXian

  1. FanXian

    Msaada kwa waliokwisha jaza Form W-8BEN ya Facebook

    Je, Part II ya form uliijaza? Waweza nisaidia jinsi ulivyo jaza hiyo sehem ya pili ya form. Form nimeiambatanisha kwenye hii post
  2. FanXian

    Msaada kwa waliokwisha jaza Form W-8BEN ya Facebook

    Kwa wale watumiaji wa Facebook Monetization naombeni Tips za jinsi ya kujaza Form W-8BEN kwa usahihi.
  3. FanXian

    Flesh adsense account for sale

    Nyingine hii na domain yake kwa TZS 150,000. Text/Call/WhatsApp 0625972007 - Dar es salaam
  4. FanXian

    Flesh adsense account for sale

    Location: Dar es salaam/Tanga Contact: 0625972007 Price: TZS 230,000 NOTE: Hii huuzwa na domain yake kabisa
  5. FanXian

    Nahitaji dashboard ya Modem

    Habari Chief, nina modem Huawei E303h-1 ya Airtel ambayo wakati nilipokua na update firmware computer ilizima na baada ya hapo haipigi kazi tena. Nikiiweka kwenye computer inakua hivi: Na kila nikijaribu ku update firmware tena, inakua hivi: Na hapa wala haionekani na wala hai install...
  6. FanXian

    Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

    Hiyo niliyo download kwenye link ya Google Drive hapo juu(Setup_Miracle_Thunder_Edition_3.09) haina Loader, ni Setup peke ake
  7. FanXian

    Mafundi simu upande wa software tukutane hapa

    Baada ya ku Install hii, haifunguki, shida itakua nini?
  8. FanXian

    Where can I find MRT Dongle 3.69 Crack + Without Box (Loader)

    Please help me with a download link or site
Back
Top Bottom