Pia Pandola aliumbwa kama adhabu kwa wanadamu baada ya kuiba moto olimpus na kipindi hicho duniani kote watu walikuwa wakiume hivyo baada ya kuumbwa miungu walimpa zawadi mbalimbali kama ulimi wa ushawishi,uzuri,wengine wamvisha nguo nzuri kisha akaja duniani kutoka olimpus na kulifungua,kisha...
Baada ya pandola kulifungua roho chafu zilitoka isipokuwa roho moja tu roho ya matumani......haukutoka kwakuwa pandola aliwai kufulifunga baada ya kuona mauzauza kisha kikachukuliwa na kuifadhiwa kuzimu anakotawala hades kuna kipindi flani inasadikika lilichukuliwa huko na likamfikia Medusa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.