Mhujumu uchumi ni mhujumu tu, mwizi ni mwizi tu, aliyefuja mali zetu kafuja tu, aliyetumia madaraka vibaya kayatumia vibaya tu. Yuko CCM, CDM, UKAWA, au hana Chama haiondoi makosa yake. Cha msingi ni kuwa wachukuliwe hatua bila kujali wanatoka Vyama gani vya siasa. Kuna waliofanya ufisadi na...