[QUSOTE="Jaslaws, post: 29010562, member: 45054"]natamani sana,warudi nyumbani tulijenge bara letu..!!
Pole pole Ndugu, fahamu Moja, inaanza na wewe, kuanza nukta hii, kujipenda, kujithaminu, kujuheshimu, nakupenda vyote vya kwako, watarudi tu. Na bara La Africa Lita kombolewa
Amuni amunu nakuambia