Sio kweli, those were fake accounts, not even their numbers. People saved other number under their names and exchanged fake chats to gain political points...
yani kuwakata majina waombea bila maelezo. alafu maraisi wa staafu wanatetea amaamuzi hayo kwa kusema "Tumuamini Raisi, yeye anataarifa zote za wagombea"..
hii inanikumbusha Audit report ya Ernest & Young walipogundua madudu BoT, Waziri wa Fedha Zakia Meghji akasema zimtumika kwenye mambo ya...
Wakati wengine wanahangaika kwenye Twitter, facebook, instagram na JF kujitangaza kuwania uraisi mwenzao anapiga mzigo na wananchi wanamkubali (Twaweza survey) zaidi yao
Naona maneno ya Mwandosya bado yanatimizwa...nilidhani alisema baada ya bunge maalumu la katiba, siasa chafu ziishe tuelekeze nguvu kwenye kujenga hoja
Madhara ya kuondoa maadili, uzalendo etc kwenye tunu za taifa ndio kumezaa tukio la leo la Makonda dhidi ya Warioba.
CCM kueni waangalifu, mtaamsha hisia za wananchi, itafika mahali hata hao FFU na jeshi watashindwa kuwadhibiti, ghafla watachoma moto BUNGE na ofisi za chama,.
Wakati ni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amesema kutumia lugha ya kejeli dhidi ya mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ilikuwa mbinu ya kupata ushindi katika majadiliano wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Mwandosya alitoa...
Utafiti wa kiyasansi uliofanywa na taasisi ya twaweza umeonyesha kwenye page 8 figure 9, kwamba 25% ya watu wa bara na 5% ya wazanzibari wanataka mfumo wa serikali mbili uendelee.
Zaidi ya 60% pande zote mbili za muungano wameikubali rasimu ya warioba
53% ya wazanzibari wamesema...
January Makamba anasema ulimwengu ( natumaini sio Jenerali) utatucheka kama tukiua tulichounda wenyewe....kwanini tuliua Tanganyika..?? Hakuna anayetaka kuua muungano..tunataka tuuimarishe...tena twende mbali kabisa na kufufua Tanganyika...tuue ndege wawilo kwa jiwe moja....
Alafu hiyo fax...
"Waliowengi" wakiongozwa na CCM wamejikuta wamejifunga na msimamo wa serikali 2 na kushindwa kujibu hoja na maswali ya msingi yalioibuliwa na walio "wachache"....
Nidhahiri kabisa CCM na haikuwapa nafasi wajumbe wake kujadili mfumo wa serikali kwa uhuru na uwazi ili wawe na msimamo mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.