Recent content by Family_hammer

  1. F

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaga-Kinyerezi

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 2921 (zaidi ya nusu eka) kinauzwa. Kiwanja kipo Kibaga- Kinyerez karibu na Songas-Kinyerezi Plant. Kiwanja kinafaa kwa shughuli za biashara, Makazi na ufugaji. Huduma zote muhimu kama maji na umeme zipo karibu na eneo la kiwanja. Kiwanja kina unfinished...
  2. F

    Nauza Rav4 milango 5 kwa bei nafuu sana

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160947. Insurance ipo valid mpaka March 2021, Engine, Gear box na tyre zote nne zipo bomba kinoma. Ukinunua hakika huwezi jutia hela yako Bei ni Shilingi Milioni Tano na laki tano tu (5,500,000/=) . Ipo...
  3. F

    Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Boss, ukikagua gari nina uhakika utahafikiana na bei yangu elekezi
  4. F

    Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Namba ya simu ni 0713629999
  5. F

    Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Ndugu yangu nashukuru kwa hiyo offer, ila samahani bei elekezi ni 6.5 Milioni
  6. F

    Car4Sale RAV 4 milango 5, Inauzwa 6.5 Milioni

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160926. Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0713 629 999
  7. F

    Nauza miche ya mdalasini na komamanga

    Kitu ambacho kinafanya Mdalasin kuwa tofauti na mimea mingine zaidi ya kuwa kiungo bora pia utoa mafuta kutoka kwenye mizizi, gamba na majani, ambayo yana kemikali zinazotofautiana. HALI YA HEWA NA UDONGO Ubora wa Mdalasini utegemea udongo wenye rutuba na hali ya hewa nzuri. Mvua nyingi...
  8. F

    Nauza miche ya mdalasini na komamanga

    Wadau musimu wa kilimo ndio huu unawadia, nauza miche ya komamanga na mdalasini. Miche hii inafaa kupanda kwenye nyumba zetu pia. Bei ya mdalasini ni Shilingi 5000 na komamanga ni shilingi 3000. Kwa mahitaji tuwasiliane kwa namba 0713 629999. Napatikana Kigamboni
  9. F

    Kilimo cha Mdalasini

    Kitu ambacho kinafanya Mdalasin kuwa tofauti na mimea mingine zaidi ya kuwa kiungo bora pia utoa mafuta kutoka kwenye mizizi, gamba na majani, ambayo yana kemikali zinazotofautiana. HALI YA HEWA NA UDONGO Ubora wa Mdalasini utegemea udongo wenye rutuba na hali ya hewa nzuri. Mvua nyingi...
  10. F

    RAV 4 inauzwa

    Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160296. Bei ni Shilingi Milioni sita na laki tano tu (6,500,000/=) . Ipo Dar-Es-Salaam. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 071362999
  11. F

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Block 23

    Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1828, Kibada block 23 -Kigamboni. Kinafaa kwa shughuli ya biashara, makazi n.k. Bei ni 110 M. Maelewano yapo. Mawasiliano 0713629999
  12. F

    Kiwanja kinauzwa Kibaga - Kinyerezi

    Kiwanja Kinauzwa kipo karibu na kanisa la KKKT Kibaga, Kinyerezi Kina ukubwa wa SqM 2921 Kiwanja Kimepimwa kwa matumizi yote Commercial na residential na kina Documents zote. Bei ni 105,000,000 Piga simu namba 0713 629999
  13. F

    Wakulima wa parachichi aina ya hass.

    Habari za leo, Natarajia kupanda hili zao, ningependa kujua changamoto zake na soko lake likoje. Asanteni
Back
Top Bottom