Recent content by FaithClass

  1. F

    Nimejua kwa nini roho yangu huburudishwa sana na nyimbo zenye maudhui ya Neno la Mungu

    Ilishanitokea mara nyingi, japo sikujua sababu hasa. Nilijua roho yangu huitikia vizuri sana nyimbo zenye jumbe za Neno la Mungu. Hata kama nilikuwa nikitembea njiani huku nafsini najisika kukaukiwa au hali ya utupu, nikipita sehemu wanakopiga wimbo mzuri unaokubaliana na Maandiko Matakatifu...
  2. F

    Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    Ikiwa ni siku moja tu tokea niilete mada husika hapa jukwaani, tayari nimeshajua pa kuanzia kuhusiana na jambo nililoshirikisha jana. Michango ya wadau imenipa picha ya kinachopaswa kufanyika. Nitumie wasaa huu kuwashukuru wote waliojitoa kwa ushauri na mawazo mbalimbali. Hakika, michango...
  3. F

    Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    It is not over until it is over. Kamwe usikate tamaa, madam uko hai.
  4. F

    Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    Unaifahamu website husika? nimejaribu kuigoogle lakini sijafanikiwa kuipata.
  5. F

    Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu. Naomba kufahamishwa: A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari...
  6. F

    Usafiri uitwao Neno

    Hapa ninazungumzia Neno la Mungu la kwenye Biblia. Wanasaikolojia wanakiri kuwa maneno yana uwezo mkubwa sana wa kumwathiri mtu. Ikiwa maneno ya kawaida yanaweza kusababisha mabadiliko, ni kwa kiwango gani Neno la Mungu linaweza kuleta matokeo yaliyoahidiwa na Mungu Mwenyewe? Kama unataka...
  7. F

    Majibu ya maombi ya imani yaliyonichochea kuamini zaidi katika maombi ya imani

    Nilikuwa High School katika moja ya shule za Sekondari mkoani Kilimanjaro. Tukiwa shuleni, tulikuwa na kikundi chetu cha maombi. Ilikuwa ni kawaida yetu kuamka kila siku saa kumi na moja Asubuhi kwa ajili ya maombi. Tuliombea nchi, shule yetu, wanafunzi wenzetu, familia zetu, masomo yetu, n.k...
  8. F

    Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  9. F

    Kama ni ujinga, huu imeizidi kiwango

    inasikitisha na kushangaza! Isije ikawa ni masuala ya ushirikina.
  10. F

    Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Yeyote mwenye akili timamu hakosi cha kumshukuru Mungu. Hongera! Una akili nzuri!!!
Back
Top Bottom