Recent content by faith lady

  1. F

    JamiiForums Tanzania Njia bora ya kumuacha mwanamke

    Mwambie huyo Dada ukweli unavyozidi kumpotezea muda ndo utamuumiza zaidi na nyie ndo mnasababisha wadada wanakuwa wanachukia wanaume akitokea anayempenda kweli anakuwa amuamini na hawezi penda tena kama zamani..pls mwambie huyo Dada sasa ataumia tu now ila itamsaidia kuliko kuendeleaa kupoteza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sekta binafsi itolewe kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii kama NSSF

    Mbona nasikia nssf bado wanalipa ila mpaka umalize six month baada ya kuacha kazi..ila mifuko mingine nasikia ndo hailipi kabisa
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Pole sana ..ni kumuomba tu Mungu iko siku jamii itaelewa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Yeap ni kumshukuru Mungu ila inaumiza pia na ukiangalia umri umeshaenda
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Yeap ni kweli ila inauma mnoo kapoteza muda mwingi na watu wengine walikuwa wanataka kumuo kabisa akawakataa akawa mwaminifu kwa huyo kaka na ndo hivyo kamwacha ..duu so sad Mungu atusaidie wadada changamoto ni nyingi za mahusiano
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Yaani kijana hana msimamo ameamua kuwasikiliza wazazi wake..
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Thanx ..sijui hii tamaduni na hii kasumba ilitokea wapi inaumiza mnoo sana watu wasio na hatia
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Yeap ila ndo hivyo mwanaume ana msimamo ameamua kufuata wazazi wake wanasemaje
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Hapana hizo ni fikra potovu watu walizonazo vichwani mwao na kupenda kugeneralize tabia za watu kutokana na kabila japokuwa kila mtu yuko tofauti na ameumbwa tofauti pia
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Thanx kwa maneno yako ya faraja..kweli waondoe au waelimishe jamii ukabilia sio mzuri..unaumiza watu wasio na hatia
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Thanx for ur gud advice..be blsd
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Una uhakiki wana tabia hiyo au ndo hayo maneno ya kusikiliza watu wanavyosema ..usipende kugeneralize tabia za watu kila mtu yuko tofauti..na pia usipende kuendekeza maneno ya kuchafulia kabila la mtu na huna uhakika nayo ...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Hizo ni fikra potovu watu walizojijengea na kupenda kugeneralize tabia ya mtu kutokana na kabila lake kila mtu ameumbwa tofauti na malezi tofauti..na pia mwanaume akiwa na msimamo inasaidia cse huyo mke unaenda kushi naye na wewe ndo unamjua tabia zake..
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamkataa kisa kabila, hivi ukabila utaisha lini?

    Thanx for gud advice..najitahidi kumshauri sana cse naelewa situation hiyo na maumivu unayopata cse ilishawai nitokea pia
Back
Top Bottom