We must decriminalise micro and small businesses that have the power of creating jobs for millions of ordinary people,
First: let's formalize the informal sector to open up more opportunities.
Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi.
Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
Kwa sasa Afrika inaagiza Chakula kutoka nje ya bara la Afrika Chenye thamani ya USD 35 bilioni kwa mwaka, na kufikia Mwaka 2025 Afrika itakuwa inaagiza nje chakula cha thamani ya USD 110 bilioni.
Tanzania ndani ya miaka sita, 2014-2020 tumeagiza nje ya nchi bidhaa za kilimo zenye thamani ya...
Suala la Ajira ni cross culting issuers katika nchi zinazoendelea Kwa sababu Uchumi katika nchi hizi umeshikiliwa na watu wachache siyo Jumuishi wala shirikishi. (Inclusive economy) matokeo yake Uchumi huu umeshindwa kuzalisha Ajira kama ilivyotegemewa na Sayansi ya kuwa (Jobs are created by...
Kuifuta kabisa haiwezekani, serikali zote duniani hata Marekani na China zinaendeshwa kwa kodi, ila kodi rafiki ndiyo maana serikali inaamua kukopa na kuweka kodi za kawaida au rafiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.