Recent content by fahad_salum

  1. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Unacho hiko kitabu
  2. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Dini kuingiliwa na Siasa ndo mwanzo wa kutokomea kabisa

    Najaribu kutafakari mwenendo wa Siasa za matusi na kejeli,mwenendo wa Siasa za kutishana na Mwenendo wa siasa zisizokuwa na amani kabisa uhuru kuminywa bila sababu za msingi.Wakati nawaza haya pia nahisi tupo wengi ambao tushafikiria haya. Kati ya vitu ambavyo Wananchi huamini zaidi basi ni...
  3. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Duh! ! ! Samahanini sana nimeattach picha lkn si soft copy za vitabu Asee
  4. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Paji la uso na siri ya jicho la tatu

    Hata SIJDA hutokea kwenye paji la uso In fact hizi thread huchanganya sana
  5. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Mkuu nimeviweka comment za juu huko vipo viwili
  6. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Mystery Of God Creation

    Siku zote Imani ndo ya muhimu zaidi.Wanasayansi wana Theory nyingi tu pia Dini nazo zina vitabu vingi tu Linapokuja suala la kuamini origin of Creation we mwenyewe unafanya mambo kuwa Complicated kwasababu ya kuhoji maswali Akija mwanasayansi akakwambia Kuna Theory inaelezea Creation...
  7. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Kuna aina mbili za meditation kuna ya Spiritual Meditation na Physical Meditation Spiritual Meditation ndo huwa unaweza amini kuwa wewe ni miongoni wa watu waliokamilika completely yaani perfect kulinganisha hata mitume kwan hata wao hufanya meditation Sasa Spiritual Meditation inaweza...
  8. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Ewaaaaa lakini kuna vitabu vingine havipo humu
  9. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Ok ni kwl sijaviattach vitabu
  10. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania The Power of Meditation ni njia nzuri ya kuwa na Deep Understanding Capability

    Habari wana JF,Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.Binafsi ni mmoja kati ya watu wanaopenda kusoma vitabu viwe vya Novel,Self Awareness,Ujasiriamali au Historia vyote vyote,chochote nitakacho kutananacho huwa nasoma bila mpangilio ili mradi nimalize na kama kuna madini basi niyapate Lakini...
  11. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyozidi kujidharirisha

    Ifike stage tuseme tumechoka asee tutazidi kuachwa nyuma
  12. fahad_salum

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyozidi kujidharirisha

    Moja kati ya faida kubwa ambayo CCM inajivunia basi ni kuwa na Taifa lenye ujinga mwingi, watu ambao sio wasomi na umaskini TAIFA LA WAJINGA Hapa nasema kwa kuangalia idadi kubwa ya raia hasa kwenye vijiji vya ndani ndani.Nchi ya ahadi hii, ukitaka cheo basi toa ahadi ambayo hatakama huwezi...
Back
Top Bottom