Recent content by fadinyo

  1. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Mzungu anaetalii kwa baiskeli aanza safari Uvinza - Mpanda, kalala porini usiku, aombwa pampu kujaza tairi la gari, Nyoka aingia kwenye hema

    Binafsi my dream ni kuizunguka Tanzania mikoa yote nikanyage na mguu wangu ila nitakuwa na private car
  2. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

    Haa haa haa ha una matumizi na namba 4
  3. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    Binafsi naona Umasikin na Utamaduni
  4. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Maisha ya Mwanadamu

    Imekaa Poaaa
  5. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Natamani kila mpangaji angekuwa kama nilivyokuwa mimi

    Tumetofautiana sana tupo wachache mi nimempandia na Maua mwenye Nyumba usafi napiga kama kwangu
  6. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Visa na mikasa: Watoto wanaopatikana kupitia waganga wa kienyeji

    Kuna Movie moja Mwaka Jana niliichek ilinipa Funzo kubwa sana inaiywa THE ROOM -BE CAREFULL WHAT U WISH FOR Hii movie inamwelezea jamaa alikuwa akiishi na mke wake kwa muda mrefu sana hawajawahi pata mtoto sasa wakahama kutoka state moja kwenda ingine huko walikoenda wakapanga nyumba moja hivi...
  7. fadinyo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Na Masters yangu, niliamua kwenda kulima Mboga mboga za kuuza baada ya ajira kuwa ngumu

    Achana namjini kuna choshaa kisenge
  8. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Nimsehaweka leo huo uzi ni sun set tuu peke yake mkuu[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]CAMERA YA SIMU KATIKA MATUKIO (PART 02)
  9. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Karibu napenda piaa Nature sanaaa
  10. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Hope mpo salama na kama kawaida tunaendelea kupambana na hali zetuu [emoji3][emoji3]One Day Or Day One YES. But Tumshukuru Mungu kwa Uhai maana ndiyo Utajiri wa kwanza mkubwa hapa Duniani. Nisiwachoshe Shukran kwa Part o1 ya Camera ya Simu katika matukio niwashukuru wote kwa comment na...
  11. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Pitia hapa tujifunze picha za simu (phonegrapher)
  12. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Thanx Boss [emoji120][emoji120][emoji120]
  13. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Shukran kwa Comment hapa siwezi elezeaa kila pichaa ila katika social media nafanya hicho kitu "asante"
  14. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Wapi nimeiba mkuu leta hapa hiyo picha mi ntakupa na og yake hapa
  15. fadinyo

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu: Wapiga picha za Simu (Phone Camera)

    Nmepost link ya group kwa comment za nyuma ingia tukajifunze
Back
Top Bottom