Recent content by Fadhili Kingu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Nimewasiliana na anodi ila Dr chilo sikumpata kwenye simu, na nilimcheck pia Ali kumwambia ila ni kama wamekata Tamaa iende hivyo hivyo lakini inaharibu reputation yao
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania Health Summit, mnapoteza credibility ya kuendesha tuzo za afya ikiwa mfumo wa upigaji kura unaacha mianya ya kura zisizo halali.

    Kwanza, napenda kuwapongeza Tanzania Health Summit kwa kuanzisha na kuendesha tuzo zinazowatambua na kuwapa motisha wafanyakazi wa afya nchini Tanzania. Hili ni jambo zuri na muhimu, hasa katika mazingira ambayo mchango wa wataalamu wa afya mara nyingi haupati utambuzi unaostahili. Pia, sina...
  3. F

  4. F

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nimelia sana RPC-Tarime kuendelea Kutetea Askari walioua na ushahidi wa kina Upo

    Duhhh wapi tunakoelekea huku Uuuuuuuuuwiiiiii 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Waambie wajaribu waone! 😅😅😅 Btw.. Mama kashawatia Moyo watumishi na Tusubiri mwezi wa Saba Kutakuwa kuna Faraja
  6. F

    JamiiForums Tanzania Usitafute Uhuru, maana Uhuru wa kweli Upo kaburini

    Mnatuchanganyaa Uhuru Upo au haupo.. Sasa nikifa nitajuaje kama Niko Huru.. Rabbon
  7. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    🤣🤣
Back
Top Bottom