Recent content by FADHILI KIKA

  1. F

    Natafuta chumba cha kuishi

    Natafuta chumba na sebule cha kuishi maeneo ya Ubungo Kibangu, Riverside, Hostel visizidi 70,000/= Viwe na maji na umeme, kama maji yakipatikana kwa jirani sio mbaya. Please mwenye taarifa contact me through 0767843084 au 0655843084.
  2. F

    Raisi wa jamhuri na majukum mengi

    Unajua ninashangwazwa sana kwa namna rasimu hii inavyompa majukum mengi raisi,ufanisi mzuri wa utendaji ni mgawanyo wa kazi kwa watu mbalimbali kuna ulazima gani wa kuchagua uongozi mkubwa alafu mamlaka mengi analimbikiziwa raisi kwa nini wasipunguze kwa makamu wa raisi wa muungano,kwa mawaziri...
  3. F

    Rais na siasa

    Katika rasimu ya pili ya katiba ya nchi kuna kipengele kimeandikwa kwamba RAIS wa jamhuri ya muungano asijihusishe na chama cha siasa,swali ni kwamba itawezekanaje kutojihusisha na siasa na wakati ameteuliwa na chama kuwania nafasi hiyo na wana nchi wamemchagua kupitia chama husika?,wadau uwanja...
  4. F

    Employment opportunity

    Am a teacher of physics/chemistry contact me for vacancy at any school in daressalaam through 0767843084.
  5. F

    Taratibu sahihi za kumfukuzisha mfanyakazi

    Hivi jamani ni upi ni utaratibu sahihi wa kumfukuza mfanyakazi wako ambaye ameshakutumikia zaidi ya mwaka mmoja na nusu hivi,ili sheria isikubane?
  6. F

    Natafuta kazi

    Jamani nipeni taarifa yoyote kama kuna shule inatafuta mwalimu wa physics na chemistry
Back
Top Bottom