Recent content by FACTUAL

  1. F

    Hospitali ya KCMC yakumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha

    Hosipitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC), imekumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha, yanayo ongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dr. Gileard Massenga na Mkurugenzi wa Fedha Mrs Mungure. Kupitia urafiki wa karibu na Askofu mkuu wa KKKT Dr Alex Malasusa aliyepita na...
  2. F

    Wanafunzi Udaktari Bingwa KCMC wafukuzwa baada ya serikali kushindwa kulipa ada kwa miaka 3

    Kukusaidia Rodrick, udahili wa Wanafunzi Chuoni hupokelewa baada ya toleo na idadi husika ya wanafunzi wakithibitisha ufadhili wao (mdau mmoja ni wizara ya Afya) Kila mwaka Ufadhili umekuwa chini ya Global funds na wizara kupitia jitihada zake kuwaombea wanafunzi madaktari huko. Mwaka Juzi...
  3. F

    Wanafunzi Udaktari Bingwa KCMC wafukuzwa baada ya serikali kushindwa kulipa ada kwa miaka 3

    HUYO ANAWEZA KUWA MWANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA
  4. F

    Wanafunzi Udaktari Bingwa KCMC wafukuzwa baada ya serikali kushindwa kulipa ada kwa miaka 3

    Kwa madaktari tunaosoma Masters mbalimbali hapa KCMC na kulipiwa ada na serikali tumegawanyika katika makundi mawili. 1.Global Fund (hawa wanalipiwa kila kitu ikiwemo ada,research,malazi na chakula) 2.Basket fund( hawa wanalipiwa ada na research tu) Mkataba wa kusomeshwa husainiwa baina ya...
Back
Top Bottom