Recent content by FACTSFIRST

  1. F

    Ipo siku Watanzania tutaandamana kudai mfumo wa vyama vingi ufutwe

    Utaandamana wewe peke yako na familia yako masikini wasio na future yoyote.
  2. F

    ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

    Jinga wewe unayefuata upuuzi na kuiita uzalendo. Jinga kabisa!
  3. F

    Matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya modality ya kiapo cha Wabunge

    Hivi nyie Kiingereza mlijifunzia wapi? Maana ya neno 'before' siyo 'katika' kwa Kiswahili. "Before" ni "mbele ya" meaning "in the presence of" au "in the witness of" Framers wa Constitution yetu walilenga kusema kwamba 'mbunge atapishwa ' bungeni' (in session) and therefore, 'mbele ya Bunge...
  4. F

    Matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya modality ya kiapo cha Wabunge

    Ni kweli utachemsha, kama na wewe ukivyochemsha hapa!
  5. F

    Upinzani ulikuwa ni lazima ushindwe tu kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu (2020)

    Uchambuzi wako ni very narrow-minded. Umeanza kwa kusema upinzani ilikuwa na nguvu sana kwenye uchaguzi kiasi cha kukifanya Chama Tawala kihitaji goli la mkono! Lakini hujaeleza ni kwa nini kama CCM ilikuwa imejiimarisha kwa miaka 4 ilihitaji mbinu za goli la mkono. Hujaeleza pia kwa nini...
  6. F

    Barua ya haraka kwa Tundu Lissu

    Haya usalama wa Taifa uchwara umemaliza kaI yako ya Leo kapokee chako. Waache wenye chama chao waendelee.
  7. F

    Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Yaani kwa kutokujua vzr Kiingereza, hata mkitajwa kwa ujinga mnadhani mmesifiwa! Rudy Giuliani hapo katolea mfano kwa kumaanisha: hata nchi inayoendesha uchaguzi wa kijinga kama Tanzania, wanasheria ya kuweka wasimamizi wa kura zinazotumwa kwa njia ya Posta.....sasa jiulize, kwani Tanzania tuna...
  8. F

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Pascal unahangaika na Dunia isiyo saizi yako. Unapoteza muda wako labda na waswahili wenzako hapa. Kama New York Times ni gazeti la 3 kwa ukubwa duniani maana yake linasomwa na linaaminiwa na watu wengi zaidi duniani. Sasa unapojitutumua na wewe hapa na vikaragosi gazeti vyenu vya hapa, tena...
  9. F

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Sasa mbona unatapatapa. Mara jurisdiction mara mahakama ilishapiteza credibility. Hivi Mahakama za Tanzania zina credibility? Je, imezifanya ziaxhe kazi yake? Na unaelewa kweli maana ya jurisdiction wewe? Hii ni ICC yaani International Criminal Court. Wana prosecute crime against humanity...
  10. F

    Prof. Mukandara: Uchaguzi ulikuwa Huru na Haki kwa asilimia 85

    Mfano wa Maprofeseria rubbish wa nchi hii. Haiwezi kuwa na halali asilimia 85 na haramu asilimia 15 halafu iitwe halali! Waache kujificha. Wameonesha ujinga wao kwa kiwangoncha PhD na Dunia nzima imeona. Sasa wainywe hiyo aibu, hata kama mishipa yao ya aibu ilishakufa. Pumbavu kabisa.
  11. F

    GE2020 Polepole: CHADEMA walichapisha kura feki ili kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Jamani kama kweli kuna moto wa Jehanam, kama maandiko yasemavyo, huyu PolePole ajitahidi kukwepa asiishie huko, maana kajamaa haka kaongo hata shetani hakafikii...
  12. F

    Ujumbe wa Zitto Kabwe kwa Watanzania kabla hajakamatwa na Polisi

    Hii ni typical African/Tanzanian mindeset. Eti cerisible opposition leader, utawapata wapi kama hawapitii hii mitihani? Kuna duka wapi linauza hao ready made credible leaders ambao wewe utakuwa tayari kujitoa kwa ajili yao? Eti to risk your life...what life? Do you have a life or your berely...
  13. F

    GE2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

    Tunajua hicho ni moja ya hisia zenu za kimakosa, kama ambavyo mlidhani Lissu hatarudi akarudi na sasa CCM inahenyeshwa. Usiende mbali. Wiki ijayo tukutane uwanjani halafu uone watakavyokuwa wamewaongezea wananchi hamu zaidi ya kumwona na kumsikiliza. CCM calculations za kisiasa zero. Nyie siku...
Back
Top Bottom