Kwa Msaada...
Kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi katika kila hatua ya makuzi yake.
Nyanya inapesa nyingi lkn kwa ulimaji wa heka moja na kuendelea ndiyo utaona faida ya nyanya. Kwa screenHouse kama hiyo return yake ni ya mda mrefu almost 5 yrs ndo irudishe investment cost. Kama una...
Tunda linakua na shape mbaya kwasababu kuna virutubisho linakosa mwanzon mwa ukuaji wake na si sababu ya mbegu. Pia tikiti linapenda joto ili linenepe na kuiva haraka lkn ukiwa unamwagilia vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mche mmoja unaweza ukatoa matunda mengi tu kuanzia 2 nakuendelea, lkn sio lazima ukate mbele lkn kitaalamu wanashauri ivyo ili upate matunda machache mwa mmea yenye ukubwa mzuri na muonekano bora kwasababu unapokata mmea ukiwa na matunda ma3 au 2 utasaidia matunda hayo mupata virutubisho kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.