Recent content by FABIAN HERMAN

  1. F

    Vyeti kutofautiana majina

    Jaman wana JFi tatizo langu nililo nalo vyeti vyangu vya form 4 vimetofautiana herufi ya katikati na cheti cha darasa la saba yaani baada ya kiunganishi M kuna N. Nifanyeje jamani nisaidieni wakuu.
  2. F

    Kwa anaeuza laptop

    kuna acca nayo ni nzuri tufanye biashara
  3. F

    Nafasi za jeshi

    Jamani wana jf ninaomba kuuliza nafasi za jeshi zinatoka lini?msaada wenu ni muhimu sana kwangu.
  4. F

    Nafasi za jeshi

    Jaman was jf nilikuwa naomba kuuliza kwamba nafasi za jeshi zinatoka lini msaada wenu ni muhimu sana kwangu.
  5. F

    Msaada: Ni mambo gani ya kuzingatia ukiwa M.C wa hafla mbalimbali?

    Jamani mi nimwanafunzi wa kidato cha nne sijasajiriwa sababu ya ada kupungua nifanye nini jamani
  6. F

    Nashauri Bakhresa aanzishe Azam schools

    Jamani wana jf mimi ni mwabafunzi kidato cha nne sijasajiriwa kutokana na ada kupungua nifanye nini?
Back
Top Bottom