Recent content by Fababe

  1. Fababe

    Magufuli Na Mbowe ni marafiki

    Kwani huoni hiyo plate number imeandikwa W UJ yaani Waziri wa Ujenzi ambaye Ni Magufuliubishi mwingine bhana
  2. Fababe

    UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

    Unaona Ni sawa kutohudhuria misiba au ndio ushabiki na Akili za kushikiwa
  3. Fababe

    Kauli ya Mwl. Nyerere ilishafuta ndoto za kisiasa za Edward Lowassa!

    Mtu anayetaka kwenda ikulu na Yuko tayari kutumia Pesa kununua kura aingie ikulu Ni wakukwepwa kama ukoma hafai Hilo Ni la kweli kwa baadhi ya wagombea
  4. Fababe

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Wewe kama huna fikra nzuri huna tu sio useme atakipa fikra nzuri
  5. Fababe

    Tanzania: CCM Chair - Magufuli Is the Man for Ikulu

    Absolutely Magufuli Deserves to be our Tanzanian President
  6. Fababe

    Kwa mfano wewe ni CCM

    Kwa hiyo unafikili kuwa wewe unaakili kuliko huyo jamaa nafikili usingetukana Hilo tusi
  7. Fababe

    Familia ya Gwajima yaja juu kwa udanganyifu wa Askofu Gwajima

    Gwaji sio Askofu ila mwanasiasa kivuli maana alisema kuwa huu Ni wakati wa Lowassa na Haji na hakuna atakayewazuia
  8. Fababe

    GE2015 Tunamtaka rais anayetambua maendeleo yaliyofanywa na waasisi na marais waliofuata ili ayasimamie

    Hatutaki Porojo tunataka rais alie imara na anayeweza kukemea ufisadi na rushwa sio ushabiki tu au hela alizo nazo mgombea tunataka kiongozi bora na Mwadilifu sio kuongea ongea tu👆
  9. Fababe

    Ubora wa barabara anazojivunia Magufuli unasikitisha. Hii ni barabara ya Moro Chalinze

    Hatutaki barabara ila tunataka raisi atakayeweza kuukemea ufisadi na rushwa pamoja msimamo katika utekelezaji majukumu na mfuatiliaji kwa kila hatua inayoendelea katika Nchi yetu mengine Ni porojo Ushabiki Mimi binafsi siuhitaji
  10. Fababe

    Magufuli aonyesha ukakamavu zaidi ya Lowassa

    Sio upambe ndio uhalisia
Back
Top Bottom