Recent content by f618

  1. F

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa

    Safi sana Mukhusin siraji
  2. F

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Mahaba niue hayo mkuu..! Haya bhana..!!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Unajisahau sana ww jamaa..!! Siasa ni maisha.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Hata mi nakubaliana na Donald Trump..sisi Africans dah..!!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Kafulila, Ole Sendeka, Wenje na sakata la ESCROW Vs kurudi kwa Muhongo na Tibaijuka

    Nikikumbuka zile ahadi zake duh...!! Bila shaka tutaongoza kiuchumi Afrika..viwanda hadi vichochoroni tutaviona..!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Kafulila, Ole Sendeka, Wenje na sakata la ESCROW Vs kurudi kwa Muhongo na Tibaijuka

    Honolulu nimekuelewa sana mkuu..! Tusubiri maumivu tu..! Km wao wenyewe wanavyosemaga Ccm ni ile ile kwenye nyimbo zao..natabiri kweli itakuwa ile ile.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Najuta kupiga kura 2015, sitokaa nipige kura tena

    Ss Ccm wataondokaje madarakani km watu wengi hawatapiga kura?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Ww kubwajinga Mungu ni babu yako??? Iweje unamuita bnadamu mwenzio maiti inayotembea???
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani kinachoendelea Zanzibar

    Ccm sina hamu nao..!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Kwa hali hii ya watu wanavyoropoka humu..watanzania tuna safar ndef sana ya kufikia ukomboz wa equal distribution of National cake.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni Hon. Edward Ngoyai Lowassa, tungefurahia ushindi tangu hatua ya kwanza ya matokeo!

    Yaani kuna majitu humu sijui yanafikiria kwa kutumia makalio..!!??? Hata aibu hayaoni...!!! Wizi wote huu ww unajitia huoni..!! Shame on you..!!!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Sure..! Magufuli ameniifluence tangu alipopewa wizara kwa Mara ya kwanza..na hajaniangusha hadi ss..!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Saa kumi na moja naamka honestly Magufuli will be my new president..!!! Sio kampeni ila nmeamua mm mwenyewe.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Tujadiliane kwa hoja..! Matusi ya nn ss???
  15. F

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Na ww lost id pia akili zako sio nzuri..nahisi zina mafuta ya taa..haiwezekani ukaandika matusi ya nguoni kiasi hiki..kuna maisha baada ya uchaguzi ndugu zanguni..!
Back
Top Bottom