Recent content by Ezy ibrahim

  1. E

    Ni nani 'Role Model' wako katika siasa za Tanzania?

    zitto zuberi kabwe.... anajua anachokifanya na anafanya kwaajili ya watanzania
  2. E

    Namuonea huruma sana Mnyika kwa kuingia kwenye ngoma ya kihafidhina

    mnyika ni mtu smart sana lakini kwa hili bado nahisi nahitaji kuliangalia kwa mapana.....
  3. E

    msaada kuhusu TIA

    Kwaanaejua tarehe ya kuripoti na information muhimu kuhusu hiki chuo
  4. E

    sebastian kolowa washafanya yao

    fanya kutembelea Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU), Lushoto
  5. E

    Hivi, SUA, NIT, MZUMBE,UDOM

    Wafanye yao bhasi mana dah
  6. E

    CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    Wagonjwa wengi eeh! Bila aibu unapoteza mda kukitea chama cha mafisadi ccm na kujaribu kukiponda chama cha watu CHADEMA. Its too late vilaza
  7. E

    Naliona anguko la mbunge wa Mbeya Mjini

    Kibwete na wenzio mkajipange tena sana tuu! Mengi yamefanyika chini ya mbunge wetu sugu katika kuhakikisha fedha ya wanambeya inatumika ipasavyo kutuletea maendeleo kitu ambacho mpesya na serikali yake mbovu ya ccm walishindwa kukifanya! Bado tutamuhitaji sugu
  8. E

    Matokeo ya kidato cha sita 2013

    Leo holiday guys be patient may be kesho necta watafanya yao!
Back
Top Bottom