Recent content by Ezsdon

  1. Ezsdon

    Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Heading inasema hivyo "dogo aliacha chuo afanye biashara ya forex! Kwa ataesoma juu juu ataona anguko la dogo ni kutokana na forex wakati hata kulima pia alishindwa au angelima na bado angeangukia pua kwenye mavuno.
  2. Ezsdon

    Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

    Kwenye andiko lako sijaona sehemu umesema huyo dogo alifanya biashara ya online forex trading maana hata mtaji hakuwanao aliishia kufanya vibarua na saidia fundi alafu unataka Kuja kupondea kitu ambacho kina exist toka mid 1990's sababu ya maendeleo ya technology na internet. Ungempa mtaji hata...
  3. Ezsdon

    Mjue boomslang, Nyoka hatari sana wa kijani

    Cobra mara Tatu ya koboko labda king cobra wa aisia, koboko mkubwa anafika 14ft wakati black necked spitting cobra(swila) mkubwa ni 7ft.
  4. Ezsdon

    Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    We kwako umebandika picha ya mwamposa mlangoni ikupe ulinzi, mwamposa yeye kwake ana ukuta wenye umeme,cctv camera na walinzi wa kampuni.
  5. Ezsdon

    Nawapa tahadhari, msitapeliwe

    Jumla ya 15,000 unatumiwa kwenye mobile number yako uliyoijaza siku hiyo hiyo, maana kwa siku wanakuwa na task kama 24, Kila task 1000, kwahiyo ukifikisha 10 unatumiwa 10k na mwanzo ukijisajili Wana kutumia 5000, sasa hapo ndo mwenye tamaa anavaba anaweka hela yake
  6. Ezsdon

    Nawapa tahadhari, msitapeliwe

    Hao jamaa toka mwaka Jana mpaka sasa nishapita na hela zao nyingi za trial, wakinipa 10,000 la commission ya siku hiyo na kwenye group Lao natoka, wako sana Instagram na WhatsApp, ukipatana nao huko wanakupeleka telegram, ukiwa na tamaa unalizwa.
  7. Ezsdon

    Akiwa msibani, Kamishna wa TRA aahidi kushirikiana na Polisi katika kukamata wakwepa kodi kuanzia sasa

    Serikali inafuatilia gari lenye makosa ya kikodi, kwanini msimfuate mpaka anapopaki mtu mkaipiga pin gari mkaita tow truck (breakdown) mkaivuta gari mpaka ofisini kwenu mwenye gari ataamua mwenyewe kujakumaliza msala wake au gari muipige mnada, kuliko kumsimamisha mtu barabarani na kumtaka...
  8. Ezsdon

    Picha zinazoonesha uhalisi wa kuhuzunisha wa dunia ya leo na ijayo

    Kivuli kinafanana na kikaragosi cha Pinocchio, Pinocchio pua yake ilikuwa inarefuka kwenda mbele Kila akisema uongo,kwahiyo huyo mtoa hutuba hapo anadanganya. Kivuli kinafanana na kikaragosi cha Pinocchio, Pinocchio pua yake ilikuwa inarefuka kwenda mbele Kila akisema uongo, kwahiyo huyo mtoa...
  9. Ezsdon

    Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    Huyo maiko jackson wa buza aliyekufa akiwa about 40 years.
  10. Ezsdon

    "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Spanganati ni potassium permanganate, nilikuwa naitumia kufanyia fumigation ukiichanganya na formalin unapata formaldehyde gas moshi wake bomu la machozi nanusu.
  11. Ezsdon

    Mwisho Mwampamba: Vyombo vya habari viliniandika kwa uongo, hakuna pesa yoyote niliyoshinda kwahio sio kweli eti nilifirisika

    Sababu wabongo wakijua unapesa wanaanza kutumia za kwao kwako wakiamini wewe tajiri utarudisha fadhila, kwahiyo mwamba alikuwa anapata miseleleko tu.
  12. Ezsdon

    "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Ya wazungu tuwaachie wazungu tu, utakuwa humjui Kenneth Copeland Kenneth wala Benny Hinn hao ndo waasisi wa televangelist na miracle crusades.
  13. Ezsdon

    "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Kuna mwamba mmoja mtu wa vyombo walijenga kanisa la mabati mtaani kwao, ikawa Kila akirudi usiku toka kupiga vyombo akifika pale maeneo ya lile kanisa anasikia "Amen Amen" baada ya kama wiki watu wanaamka wanakuta kanisa limebomolewa, kuuliza ndo jamaa anasema hawa jamaa wakanisa wabishi Kila...
  14. Ezsdon

    Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

    Hii itakuwa santeria, kilinge cha msata tungeona kichuguu, vyungu na matambala meusi na mekundu.
  15. Ezsdon

    Harmonize abadili dini na kuwa Mkristo? akutana na Pastor Tony Kapola nakufanyiwa maombi

    Kwamba umeshindwa kusoma hapo mwisho"this part is on nandy's video dropping.
Back
Top Bottom