Recent content by Ezequelyjr

  1. Ezequelyjr

    Orodhesha degree useless tz mdogo wako asizisome mwaka 2025/26

    Hizo course haziwezi kuwa useless kamwe usipotoshe watu, bila electrical na mechanical engineering viwanda vitakufa na hizi sector za nishati zinahitaji sana Hawa watu
  2. Ezequelyjr

    Kwa matokeo haya naweza kwenda advance kwenye shule za serekali na kwa kozi gani?

    Unaweza pata kwa PCM lakini kwa kiasi kikubwa shule mpya tofauti na hapo ni kutegemeana sasa
  3. Ezequelyjr

    Kwa mtaji wa million 1 nifanye biashara gani?

    Mchele wa huko huku dar unaweza kosa soko, kulingana na ubora wa mchele wa mbeya
  4. Ezequelyjr

    DIT (Dar) au MUST (Mbeya) kwa kozi ya Computer Engineering?

    DIT is the best in computer engineering than MUST. Utakuja nishukuru ukimaliza chuo
  5. Ezequelyjr

    Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Civil engineering is the best than computer engineering
  6. Ezequelyjr

    Biashara ya pembejeo za kilimo

    Sawa ahsante 🙏
  7. Ezequelyjr

    Biashara ya pembejeo za kilimo

    Vp hivyo vyeti vya tpri nk havina short course na kama ipo ni wapi inatolewa msaada please!
Back
Top Bottom