uma wa watanzania ndio wa miliki wa ardhi huku raisi akipewa mamlaka ya kusimamia ardhi na uma wa watanzania, kumbuka kusimamia ni tofauti na kumiliki. umma ndio unapaswa kuwa na kauli ya mwisho juu ardhi yao baada ya maridhianoo
ya pande zote mbili. Je wamasai wameridhia ardhi yao...
Muhimu kuwe na Uhuru ndani tume ili time iwe huru.
Watumishi wa tume wanapaswa kutoingiliwa na mamlaka yoyote katika utendaji wa kazi.
Hata hii time ni huru Ila dosali unaanza pale matokeo yanapoamuliwa nje Kura halali.
Tutatambua kuwa time ni huru endapo tutaacha maslahi binafsi na...
Kwa mtazamo wako wew ni masikani na Kama ni mbunge Basi nyie ndio chanzo Cha huu umasikini na ufukara uliopo. Elewa kwamba umasikini ni neno ambalo ni husianishi na vitu vingine. Usifikirie kuhusu hivyo vyakula, mavazi na malazi.
Fikiria mbali kuhusu Uhuru wa kifedha, kuigusa jamii...
Muhimu kuwa na uwiano wa idadi ya watu wanaotakiwa kuwepo huko. Lakini nasikitika kusikia kuwa Kuna mahoteli ya kitali yaliyojengwa bila Environmental Assessment Impact. Ngorongoro ni Eden ya Leo duniani. Iwekewe masharti ya faida pande zote mbili.
Permitted land exploitation, ni organazide
Ni mfumo mzuri wa unyakuzi wa Ardhi hasa unapokuwa katika Hali ya uwekezaji katika tasinia mbili, uwekezaji katika utalii na kilimo. Ubaya huanza pale ubaguzi unapoanzia. Hii mikataba iendane na haki sawa kwa wafanyakazi na wale wanaopaswa kuingia hapo
Bora nyie, sir bara mkare super loaf ni 1400 tshs, Michele Kati 1800 low quality mpaka 2600 high quality, mafuta ya kula kwa lita no kuanzia 5000 mpaka 8500 kutegemea na Sina ya mafuta. Wanzanzibari mshukuruni hata huyo mwinyi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.