Recent content by Ezekiel Msemwa

  1. Ezekiel Msemwa

    Msaada wa ushauri wa matibabu ya mtoto mwenye dalili hizi

    Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen. Pamoja Nakuwa na tonsils mara nyingi analalamika kuumwa tumbo ambapo anapata maumivu makali sana analia huku...
  2. Ezekiel Msemwa

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Mafundi Umeme (Electricians) pia hapa tunashida kidogo nawatonya tu wengi wetu ni waaminifu wacha he siyo waaminifu hasa ikifika stage ya wirings hapo ndo waya zinapoibiwa hata kama boss yupo. Nawakumbusha tu siyo wote ni waaminifu.
  3. Ezekiel Msemwa

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Duhh pole sana boss, Ilikuwaje ukatoa 800k kununua main switch, katika Ufundi wangu sijawahi kutana na hii bei, mara nyingi sana main switch za 3phase Zinaanza na 150k. Hadi 500k,
  4. Ezekiel Msemwa

    I'm back again'

    Holla wakuu, Nimerudi tena Jamii Furum, since 2017 finally leo ndio na Login naomba ushirikiano wenu, wakuu, by professional ni FUNDI UMEME karibuni pia naomba mnipokee.
  5. Ezekiel Msemwa

    Fundi umeme wa majumbani

    Fundi umeme majumbani karibu mteja uhudumiwe naitwa Ezekiel kazi yangu ni fundi umeme ninafanya kazi nzuri kwa uaminifu ninahofu ya mungu ninapatikana kwa namba +255654270004 you are welcome for service in all aspects of electrical installation, call/SMS/whtsapp Dar es salaam na nje ya mkoa.
Back
Top Bottom