Recent content by Ezekiel kashemeza

  1. Ezekiel kashemeza

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Sidhani kama kuna wachungaji wanaowaambia washirika wao waanze kunena kwa lugha.kama wapo basi hao huduma sio yao wanaongozwa na roho za kipepo.kunena kwa lugha nikarama zinazotolewa na Mungu mwenyewe kulingana na yeye apendavyo kulingana na wewe umekaaje na Mungu.
  2. Ezekiel kashemeza

    Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!

    Mbona hiyo kawaida sana.kumbuka alikuwa na uelewa mkubwa sana.pengine ndio maana hakutaka kusumbuliwa na vilaza
Back
Top Bottom