Recent content by Ezekia Kenza

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wajipanga kuzomea misafara ya kampeni ya Magufuli, Waandaa nyimbo za kumsifu Lowassa

    Alichaguliwa Dodoma sio Mbinguni
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya ya CCM; Tuwe makini

    kwa nini CCM saiv wanaigaiga tu? Wameiga mengi ya UKAWA. mfano utaratibu wa wanawake kukaa mbele kwenye mikutano, namna ya kunyoosha mikono kwenye mikutano na kusema mchakamchaka, namna ya kubandika mabango. Mbaya zaidi sera za Magufuli ni za UKAWA mfano neno MABADILIKO, maskini wa Mungu bila...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Samwel Sitta,weka hadharani Ripoti halisi ya Richmond

    tatizo ni mfumo uliopo ndio maana wakipiga indicator ya kushoto wanakwenda kulia. Hata akishuka malaika kwa mfumo huu hatufiki. Lazima tuung'oe mfumo
Back
Top Bottom