Recent content by Exuberant Boe

  1. Exuberant Boe

    Member Mpya

    mh hapana kwakwel maana hapa dashboard yenyew tu inanisumbua kuielewa japo now naanza kuielewa mdogomdog
  2. Exuberant Boe

    Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

    Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
  3. Exuberant Boe

    Member Mpya

    Warmly welcome brother
  4. Exuberant Boe

    Member Mpya

    Hi.Naitwa sadiki salumu a.k.a Exuberant Boe.Ni mwanajamii forums mpya ahsante.
Back
Top Bottom