NImeuliza mtu akaniambia inabidi ujue sulfide content, ujue copper content iliyopo akasema huwa kuna formula wanaitumia kulingana na content ila haijui. Ndo nikaja humu nipate msaada
Habari wakuu, samahani naomba kuuliza kwa wenye kuelewa kwenye shughuli za uchenjuaji wa dhahabu.
Naomba kueleweshwa namna unavyoweza kujua ni kiasi gani cha lead nitrate, ammonium nitrate pamoja na hydrogen peroxide unachoweza kuweka kwenye maandalizi ya solution.
Naombeni tafadhali...
Habari Wana JamiiForum, naomba msaada wa topics zinazopatukana kwenye mtaala mpya wa A level katika masomo ya Biology, Chemistry na Physics, watakao anza nao form five wa mwaka 2025.
Lakini pia kama Kuna mwenye pdf anisaidie kupata nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha wakuu
Habari wakubwa, natumai mko vizuri,
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada, nilikuwa naomba Kwa wale wadau wa elimu wanisaidie nifahamu topics za Biology, Chemistry na Physics hasa Kwa Form five, lakini pia kama naweza kupata Pdf ya hivyo vitabu nitashukuru sana.
Naomba kuwasilisha
Habarini wana Jf,
Katika Nchi yetu ya Tanzania population inazidi kuwa kubwa hasa na takribani miaka 100 ijayo Tanzania inaweza kuwa kwenye top ten ya Nchi zenye population kubwa duniani kulingana na Takwimu, hivo kutokana na ukuaji wa population wasomi wanazidi kuwa wengi, shule zinakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.